Sunday, 22 March 2015
Saturday, 21 March 2015
GUESS WHAT: Angalia wimbo mpya jux ft iyanya
![]() |
| new hit coming soon toka kwa jux ft iyanya & nahreel nikuite nan |
Friday, 20 March 2015
Saturday, 14 March 2015
Friday, 13 March 2015
Pichaz nyingine Ommy Dimpoz na Wema Sepetu.. Muonekano wa cover za wimbo mpya #Wanjera
Kuna pichaz ambazo ziliweka mastory mengi mtandaoni, walionekana Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wako kitandani, “Sio mara yangu ya kwanza kupiga picha na Wema hata uki-google utaona tuna picha nyingi sana…“, hayo yalikuwa majibu ya kwanza ya Ommy kuhusu picha hizo.
Sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo ‘Wanjera’ ambayo inatoka leo March 14 2015.
Kwenye cover hizo wako zao Ommy Dimpoz na staa wa Movie, Wema Sepetu.
.
.
.
.
Tuesday, 10 March 2015
Sunday, 8 March 2015
Friday, 6 March 2015
Thursday, 5 March 2015
Subscribe to:
Comments (Atom)









