Pages

Subscribe:

About me

Text Widget

Total Pageviews

Sample text

More Links

top navigation

Social Icons

Blog Archive

Followers

Followers

Featured Posts

Subscribe

Ads

Ads

Recent

Comment

Recent Posts

Contact Form

Flickr Images

Discussion

About

Business

Subscribe

Social Icons

Sunday, 8 March 2015

JOTI MDEBWEDO AKIYAKATA MAUNO YA HATARI MPAKA PSQUARE WADATA WATAKA KUJI...


P-Square wanaweza kumtafuta Joti siku yoyote kuanzia mwaka huu.  Hiyo ni baada ya mmoja wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Paul Okoye kupost kipande kifupi cha Joti akicheza wimbo wa Koffie Olomide kwa style iliyomvutia.


Paul ameipata video hiyo kutoka kwenye akaunti ya Instagram iitwayo ‘Nigeriagirlskillingit’. 

"Hahahahahaha i can't wait for psquare to start dancing like this," ameandika Paul na kuambatisha na emoji zinazocheka hadi machozi. Kwa utani utani hivyo Joti anaweza kuwa amejipatia mashabiki wapya kutoka Nigeria.
VIDEO YENYEWE HII HAPA (CLICK DOWN TO SEE THE VIDEO):  

0 comments:

Post a Comment